Ripoti YA safari ya SKAUTI NCHINI KENYA iliyofanyika tarehe hadi tarehe 9/9 mpaka tarehe 14/9/2018
UTANGULIZI
Safari hii ya siku 5 ilihusisha vijana wa skauti wa shule ya sekondar iKaloleni, shule ya msingi Safina na shule ya msingi Mother  Kelvin wapatao 28 ikiwa na viongozi 05. Viongozi wa kike wakiwa 03 na wakiume wa kiwa 02.
Safari hii ilianzia Boma saa  1.30 asubuhi na kisha njia panda saa 5.00 asubuhi kwaajili ya kuwachukua vijana na viongozi wa shule ya msingi Mother Kelvin ya Same.  Safari ikaanza rasmi. Vijana hawa na viongozi wakaanza rasmi safari yao kwa kupitia njia yaTarakea mpaka Nairobi- Kenya.
Madhumuni ya Safari
Lengo la safari hii lilikuwa ni:-
1.Kuimarisha mahusiano yaliyopo kati ya skauti wa nchini Kenya na Tanzania.
2.Kubadilishana uzoefu kati ya skauti wa nchini Kenya na Watanzania.
3.Kujifunza mbinu mbalimbali za kiskauti
4.Kutembelea eneo alilozikiwa muanzilishi wa skauti
5.Kutembelea eneo alilokuwa anaishi mwanzilishi wa skauti nchini Kenya.
6.Kufanya utalii katika maeneo mbalimbali ya nchini Kenya.
Mahudhurio

Hey there, I'm Loreo!

Share This Post

Comments

    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment